JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Breaking News:Abiria 12 wafariki,50 kwenye ajali ya basi la Frester

Watu 12 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester Iililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori lenye shehena ya saruji lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea…

TEF yakerwa na kauli ya Serikali, yabisha hodi Ikulu

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa kauli ya Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA…

Mume amuunguza mke na maji ya moto,kisa kuchelewa kuwasha moto

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakari Kunenge amekemea vikali vitendo vya ukatili vinavyoendelea kushamiri ndani ya mkoa huo baada ya Neema John , kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Tumbi baada ya kufanyiwa ukatili na mumewe…

Mtwara wafurahia kunufaika na mradi wa kupaza sauti za baioanwai ya WWF

Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Mtwara Wananchi na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wamefurahia elimu ya kupaza sauti juu ya baioanwai ya Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) kuwanufaisha kimaisha kwa kubadili mitanzamo yao Jamhuri imeelezwa. Mmoja wa wananchi…

Makusanyo kodi ya ardhi yaongezeka kufikia bil.33.9/-

Na Munir Shemweta,WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 90.9 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2022 kama kodi ya pango la ardhi sawa na asilimia 75 ya lengo la makusanyo…

Mil.710.7/- zatumika kuboresha Pori la Akiba Pande

Serikali imetumia kiasi cha shilingi milioni 710.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya utalii ya Pori la Akiba Pande ili kuhakikisha kuwa pori hilo linaendelea kuwa kitovu cha utalii katika jiji la Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maliasili…