JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ahukumiwa kuchapwa viboko 24 kwa kujaribu kubaka

Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imemuhukumu kuchapwa viboko 24 mkazi wa kijiji cha Msia,Kata ya Chitete, wilayani humo Furaha Maisoni Simkonda, kwa kosa la kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka…

Mchungaji,wanawe wawili watuhumiwa kuua mtoto wakimuombea

Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe Mchungaji wa Kanisa la Uinjilisti Tanzania, Julius Mwasimba (57), na watoto wake wawili wanashikiliwa Plisi mkoani Songwe wakituhumiwa kumfungia ndani mtoto (wa mchungaji) kwa siku tatu ili kumuombea. Inadaiwa kuwa kwa siku zote hizo, watuhumiwa wote watatu pamoja…

TMA yaeleza sababu za ongezeko la joto nchini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ,imesema kutakuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hali ambayo imesababisha kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa…

Vikundi vya ulinzi shirikishi vyawezeshwa mawasiliano

N .Abel Paul wa Jeshi la Polisi Vikundi vya ulinzi shirikishi katika Jiji la Arusha vimewezeshwa vifaa vya mawasiliano kwa lengo la kurahisisha mawasiliano wakati wakiimarisha ulinzi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha. Akikabidhi vifaa hivyo ambavyo ni simu…

Ndege ya ATCL yadaiwa kushindwa kutua Bukoba

Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) yadaiwa kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba. Mbunge wa viti maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Neema Lugangira kupita ukurasa wake katika mtandao wa Twittter amesema amepanda ndege leo asubuhi…