Category: Habari Mpya
TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Hidaya nchini
Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…
TMA yatoa mwenendo wa kimbunga Hidaya, upepo mkali unazidi km 50 kwa saa watawala
Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu kabisa na pwani ya nchi yetu umeendelea kutawala mifumo ya hali ya hewa katika maeneo hayo, ambapo katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali vimeendelea kujitokeza. Mfano katika vituo…
Mzava : Uzalishaji makaa ya mawe kuleta mapinduzi ya uhifadhi wa mazingira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kiwanda cha makaa ya mawe, kata ya Visegese wilayani…
Kimbunga Hidaya chazidi kusogea Tanzania, Serikali yatoa tahadhari
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka wananchi wote wanaojihusisha na shughuli mbalimbali baharini kuchukua tahadhari kubw kutokana na kimbunga Hidaya ambacho tayari kimeshaingia Mashariki kwa Pwani ya Tanzania….
TMA: Kimbunga Hidaya kuathiri mifumo ya hali ya hewa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea…
Waziri Ummy atangaza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika Bara la Afrika na kuwa nchi ya kutembelewa kwa ajili ya utalii tiba kutokana na uboreshanji wa miundombinu…





