Category: Habari Mpya
Naibu Waziri Pinda akabidhi gari la wagonjwa Mpimbwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika Halmashauri ya Mpimbwe Qilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Mhe, Geophrey Pinda amekabidhi gari la wagonjwa kwa ajili ya…
TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Hidaya nchini
Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…
TMA yatoa mwenendo wa kimbunga Hidaya, upepo mkali unazidi km 50 kwa saa watawala
Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu kabisa na pwani ya nchi yetu umeendelea kutawala mifumo ya hali ya hewa katika maeneo hayo, ambapo katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali vimeendelea kujitokeza. Mfano katika vituo…
Mzava : Uzalishaji makaa ya mawe kuleta mapinduzi ya uhifadhi wa mazingira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kiwanda cha makaa ya mawe, kata ya Visegese wilayani…
Kimbunga Hidaya chazidi kusogea Tanzania, Serikali yatoa tahadhari
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka wananchi wote wanaojihusisha na shughuli mbalimbali baharini kuchukua tahadhari kubw kutokana na kimbunga Hidaya ambacho tayari kimeshaingia Mashariki kwa Pwani ya Tanzania….
TMA: Kimbunga Hidaya kuathiri mifumo ya hali ya hewa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea…





