Category: Habari Mpya
Tutazidi kuimarisha huduma za ukunga kukabiliana na vifo vitokanavyo na uzazi – Waziri Ummy
Na WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024…
Mawasiliano ya barabara ya Dar – Lindi kurejea ndani ya saa 72 – Bashungwa
na Mwandishi Wetu, JakhuroMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam,…
‘Acheni roho mbaya wasaidieni watumishi mnaowaongoza kupanda vyeo’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete amewataka Wakuu wa idara wanaosimamia utawala na rasilimali watu nchini kuacha roho mbaya kwa watumishi wenzao na kufanya kazi zao…
Mwendokasi Mbagala, G/Mboto kuanza Februari-Machi 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainabu Katimba amewataka Wakandarasi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha huduma ya mabasi yanaanza kama ilivyokubaliwa ili wananchi…
Tanzania kinara wa uhuru wa habari Afrika Mashariki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya Reporters…





