Category: Habari Mpya
Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa…
Lions yamkabidhi Ridhiwani vifaa tiba vya Mil. 5 /-
Na Omary Mngindo, TimesMajira Online,Ruvu Taasisi ya Lions Club imemkabidhi vitanda na vifaa tiba Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.9. Katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Zahanati ya…
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari mlipuko wa Ebola
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa janga la Ebola ambao unaripotiwa kutokea nchi jirani ya Uganda huku wakitakiwa kuondokana na safari zisizo za lazima ili kuepukana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Rais wa Chama cha…
RC Shigela:Akagua mradi wa ujenzi wa hospitali,aipongeza TBA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela amefanya ziara ya Kutembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda – Chato ambao unatekelezwa kwa awamu. Akizungumza mara baada kukagua mradi huo…
NHC lajipanga kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme
Shirika la Nyumba la Taifa limejipanga kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme unaotarajia kujenga nyumba zaidi ya 5000 na kuzalisha ajira zaidi ya Elfu Ishirini na Sita. Hayo yameelezwa na Daniel Kure Afisa Mauzo na Masoko Mwandamizi kutoka Shirika la…





