Category: Habari Mpya
DC Mangoso akemea walimu kuwa na mahusiano na wanafunzi
Na Muhidin Amri,JamhuriMedia,Mbinga Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Aziza Mangosongo,amezindua miongozo ya usimamizi na uendeshaji wa elimu huku akikemea tabia ya baadhi ya walimu wa kiume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao. Mangosongo amesema,tabia hiyo imechangia…
Serikali yatambulisha mradi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaongezewa uwezo wa kutambua na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo yao. Amesema hayo wakati wa kikao…
Dkt. Kiruswa ataka wachimbaji madini kujifunza Nzega
Na Asteria Muhozya,JamhuriMedia, Nzega Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wachimbaji Wadogo wa madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya Nzega kutokana na uthubutu walioufanya kuanzisha maabara za kisasa za kupima mchanga wa madini kabla ya…
Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mjamzito hadi kufa Iringa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa inamshikilia Mohamed Njali kwa tuhuma za kumbaka mjamzito Atka Kivenule na kumsababishia kifo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amethitisha kutokea kwa tukio hilo lilitokea Jumamosi usiku, mtaa wa Maweni,Kata…
Benki ya Dunia yaridhishwa na kasi ya huduma za mahakama
Na Mary Gwera,JamhuriMedia Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa Uchumi na Taasisi kutoka Benki ya Dunia (WB), Bw. Asad Alam amepongeza hatua ya uboreshaji wa huduma za utoaji haki nchini huku akiahidi kuwa Benki hiyo itaendelea kuunga mkono…
Nini kinafichwa nyuma ya stempu za ushuru?
Na Joe Beda Rupia,JamhuriMedia Mwaka 2017, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ilitangaza zaburi ya kimataifa ya usambazaji, ufungaji na uendeshaji wa mfumo wa stempu za ushuru za kielektroniki. SICPA, kampuni ya Uswisi inayomilikiwa na familia iliyoiasisi, ilipata zabuni hiyo na…





