JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mwanamke ahukumiwa kwenda jela maisha

Shani Suleiman (35),mkazi wa Morogoro Mjini amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 12. Hukumu hiyo imetolewa Septemba 28, 2022 katika Mahakaka ya Rufani Tanzania baada ya mahakama kuthibitisha bila mashaka licha ya mtumiwa kukata…

Watu 13 wakamatwa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 13 wakituhumiwa kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya Shirika la Umeme (TANESCO ) na kulisababishia hasala zaidi ya shilingi milioni 10 kati yao wamo watumishi wawili na wachungaji wa dini wawili. Kwa…

Serikali yaonya ubadilisha matumizi ya ardhi bila sababu ya msingi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Dkt Angeline Mabula amezionya halmashauri nchini kuacha utaratibu wa kubadilisha matumizi ya ardhi bila sababu za msingi. Dkt.Mabula alitoa onyo hilo Oktoba 1, 2022 jijini Dodoma wakati wa kuhitimisha…

Serikali yawapa mawakili wafawadhi siku 14 kuwasilisha kesi zilizopo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali yawapa Mawakili Wafawidhi wa Serikali siku kumi nne kuanzia leo kuwasilisha orodha ya kesi zilizopo kwenye taasisi za umma wanazofanyia kazi pamoja na majina na vyeo vya wahusika waliosababisha kesi hizo. Maelekezo hayo yalitolewa na Waziri…