JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Jafo awakoromea watendaji wanaofanya urasimu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira alhaj,Dkt.Selemani Jafo amekemea watendaji wa Serikali wanaofanya urasimu katika kuchelewesha nyaraka za wawekezaji ili kuwekeza nchini. Aidha ameeleza Tanzania ni nchi ya mfano yenye amani na…

Waziri Chana akoshwa na ubunifu tamasha la kitamaduni la Kimasai

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana ameupongeza uongozi wa Wonderland Afrika na View Point Adventures Safaris LTD kwa ushirikiano waliouonesha wa kubuni Tamasha la Kiutamaduni la Kimasai linaloitwa Masai Festival kama zao jipya la Utalii wa Kiutamaduni….

Wawili washikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wakazi wawili wa mkoani Dodoma wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) ambaye alitakiwa kufanya mitihani jana. Inadaiwa alipigwa na kitu kizito kichwani wakati mama…

Uzembe wa madereva wasababisha vifo vya Watanzania 3545

Na Willson Malima,JamhuriMedia, Dar Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya ajali ya kipindi cha mwaka 2020 hadi Agosti 2022 ambapo imesema kuwa kwa kipindi hicho kulikuwa na ajali 4589 iliyosababisha jumla ya vifo 3545 na majeruhi 58694. Hayo yamebainishwa leo…

‘Panya road’ 40 wapandishiwa kizimbani

Washtakiwa 40 akiwemo Lubea Manzi ambaye ni maarufu kwa jina la ‘Master’ ‘ wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaa kwa makosa ya unyan’anyi kwa kutumia silaha mbalimbali. Washtakiwa hao maarufu kwa jina la ‘Panya road…

Mama amchoma moto mwanaye la 7, ashindwa kufanya mitihani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Geita Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Shahende mkoani Geita, Helena Mashaka (13), ameshindwa kutimiza ndoto zake baada ya mama yake mzazi kumchoma moto mikono kwa tuhuma za kuiba sh.30,000. Edgar Michael ni mtendaji…