Category: Habari Mpya
Uhalisia wa kipimo cha DNA 700,000/- hadi 800,000/-
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imetaja vipaumbele mbalimbali vya mwaka 2022/23, ikiwamo kununua mitambo na vifaa vya kisasa pamoja na kuimarisha miundombinu ya uchunguzi wa kimaabara. Hayo yameelezwa leo Oktoba 11,2022 jijini Dodoma na…
Wapatiwa mafunzo uendeshaji mashauri ya wanyapori
Na Angel Meela,JamhuriMedia,Arusha Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania pamoja na Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na Uhifadhi wa Mazingira na Usalama wa Wanyamapori ‘PAMS Foundation’ kinaendesha mafunzo ya uendeshaji wa mashauri ya…
Watano wafariki na wengine 31 wajeruhiwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Watu watano wamekufa baada ya basi la Kyela Express kugongana uso kwa uso na basi dogo aina Toyota Coaster katika ajali iliyotokea mkoani Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ACP Benjamini Kuzaga amethibitisha kutokea kwa ajali…
Dkt.Tulia achaguliwa kuwa mwenyekiti Umoja wa Mabunge Duniani
Wajumbe wa Kundi la Kijiografia Kanda ya Afrika la Umoja wa Mabunge Duniani (African Geopolitical Group of IPU) wamemchagua Mhe. Dkt. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Tanzania, kuwa Mwenyekiti wa Kundi hilo ambapo atahudumu kwa kipindi cha Mwaka Mmoja….
TAMCODE yashauri adhabu ya kifo iondolewe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Vyombo vya Habari kwa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TAMCODE) limetoa wito kwa Majaji kutoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa washtakiwa wa mauaji badala ya kifo ili kuokoa watu wasiokuwa na hatia. Akizungumza na Waandishi…





