JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NECTA yatoa tamko mwanafunzi kubadilishiwa namba ya mtihani

Mwanafunzi wa shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic, Mkoa wa Pwani, Iptisum Slim amedai kubadilishiwa namba yake mtihani wa kumaliza elimu ya msingi Oktoba 5 hadi 6, 2022. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii mwanafunzi huyo mhitimu wa darasa…

Mwalimu afungwa jela maisha kwa kumlawii mwanafunzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imemuhukumu mwalimu Elibariki Mchomvu kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mwalimu huyo aliyekuwa akifundisha Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga alipatrikana na hatia kwa…

Kamati ya Bunge ya Bajeti yakagua upimaji mafuta Dar

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara katika maeneo yanayotumika kupakua mafuta kutoka kwenye Meli na kupima katika Bandari ya Dar es Salaam na Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Ziara hiyo ilifanyika jana ikiwa na lengo la kujihakikishia…

Kamati ya mawaziri yajionea uvamizi kwenye chanzo cha maji Katavi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Katavi Kamati ya Mawaziri wa Wizara za Kisekta imetembelea maeneo ya hifadhi na chanzo cha maji katika mkoa wa Katavi kujionea hali ya uvamizi wa maeneo hayo na kuelekeza wananchi waliovamia maeneo hayo kutofanya maendelezo mpaka hapo timu…

Wizara yaanza kampeni mkoa kwa mkoa kupambana na ukatili

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Wizara za Kisekta na wadau wa Maendeleo imeanza Kampeni maalum ya Mkoa kwa mkoa kupambana na vitendo vya ukatili. Akizungumza wakati wa Kilele cha Kampeni ya kupinga…