Category: Habari Mpya
‘Fanyeni ukaguzi vilabu vya pombe vingi havina maji wala choo’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kila ifikapo Oktoba 15 ya kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Unawaji Mikono Duniani, lengo likiwa ni kuendelea kujenga ulimwengu wenye afya na kusaidia kupigana vita dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mlipuko. Katika Halmashauri ya Jiji la…
Mwonekano daraja la JPM Mwanza
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Madereva wa bajaji wapewa mwongozo wa utendajikazi Arusha
Na Abel Paul,JamhuriMedia,Arusha Uongozi wa Wilaya ya Arusha umewaka waenda Pikipiki za mataili matatu maarufu bajaji kufuata utaratibu na kuweka mipango mathubuti wa uendeshaji wa shughuli zao katika jiji la Arusha ambapo wametakiwa kujisajili na kuweka uongozi imara ili kuondoa…
TRA yatoa ufafanuzi tuhuma za kukusanya kodi kimabavu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi tuhuma zilizoandikwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ukusanyaji wa kodi kwa kutumia mabavu na kufafanua kwamba kilichokuwa kinafanyika, ilikuwa ni kukamata shehena ya vitenge vilivyoingizwa nchini kwa njia ya magendo. Taarifa…





