JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Basi la Super Najimunisa yaua watano, majeruhi 54 mkoani Shinyanga

WATU watano wamekufa huku 54 wakijeruhiwa katika ajali ya basi lililogongana na fuso uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga. Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Septemba 3,2022 majira ya Saa 8 usiku, ikihusisha basi Kampuni ya Super Najimunisa…

Waziri Bashe awataka wakulima kununua mbolea kulingana na mahitaji

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wakulima kununua mbolea kulingana na mahitaji yao kwani hakutakuwa na upungufu wa bidhaa hiyo kwa msimu wote wa kilimo wa 2022/2023. Ametoa kauli hiyo jana Septemba 2, 2022 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari…

Jedwali la uchambuzi wa sheria ndogo lakabidhiwa kwa Simbachawane

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene amepokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Bunge wa Saba kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Ramadhani Suleiman….

Afariki kwa kuchomwa visu tumboni na mumewe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Geita JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mchimbaji wa madini ya dhahabu Mashaka Jeremia kwa tuhuma za kumchoma mkewe visu sehemu mbalimbali ya mwili wake na kusababisha kupoteza maisha . Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ally Kitumbu…

Serikali yatoa bil.3/-kujenga sekondari ya wasichana Ruvuma

Na Mwandishi Wet,JamhuriMedia, Ruvuma Serikali imetoa shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma ambayo inajengwa katika eneo la Migelegele wilayani Namtumbo. Akizungumza baada ya kukagua mradi huo,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali…