Category: Habari Mpya
Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba mbioni kuanzishwa Tunduru
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba kinatarajiwa kuanzishwa wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma ili kuwezesha shughuli za kuchenjua madini hayo kufanyika nchini na hivyo kulinufaisha taifa na watanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko…
Waziri Mkenda aunda timu ufuatiliaji wahitimu kutoka VETA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,ameunda timu ya Wataalamu ya kufanya utafiti fuatilizi wa wahitimu wa mafunzo ya ufundi kutoka Vyuo vya Ufundi Stadi nchini (VETA), ili kusaidia maboresho ya mitaala nchini. Timu hiyo inaongozwa na Dkt….
Serikali kutumia tafiti kutatua changamoto za jamii
SERIKALI imeanzisha mpango kabambe wa kutumia tafiti zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika na wataalamu wa ndani ili kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii. Akizungumza katika Uzinduzi wa Kigoda cha Utafiti cha Oliver Tambo (Oliver Tambo Research Chair for Viral Epidemics) uliofanyika katika…
Nane wafariki baada ya kontena kugonga basi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Watu nane wamefariki dunia baada ya kontena la mchanga kufeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lilikikuwa likitokea Mbeya kwenda Njombe. Kamanda wa Polisi mkoani humo Urlich Matei amethibitisha kutokea tukio hilo leo iliyotokea katika eneo…
Mbarawa asisitiza kiwanja cha ndege Msalato kukamilika mapema
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amemtaka mkandarasi anayejenga Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kuhakikisha anakamilika kwa wakati na kwa ubora. Ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma, alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho ambacho…
Wananchi watakiwa kutunza misitu ilete fursa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutunza misitu ili iweze kuleta fursa katika uwekezaji wa hewa ya ukaa. Ametoa wito huo leo Agosti 15, 2022 alipokutana na…




