JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mhadhiri Chuo cha Utumishi wa Umma kortini kwa kuomba rushwa ya ngono

Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora, mbele ya Demetrio Nyakunga, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora, imefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Namba ECC. 10892/ 2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Michael Fredrick Mgongo Mhadhiri katika…

Waliojichukulia sheria mkononi Engikaret kusakwa

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi – Longido Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo kimesema hakuna sheria inayomruhusu mtu yoyote kujichukulia sheria Mkononi huku likibainisha kuwa tayari linayomajina ya watu waliojichukulia sheria Mkononi na kubomoa nyumba…

DC, Mkurugenzi Kilombero wakagua maeneo yaliyokumbwa na mafuriko

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dustan Kyobya na Mkurugenzi wa Ifakara Mji Zahara Michuzi , wamefika eneo la kingo za mto Lumemo ambao umejaa sana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta mafuriko kwenye makazi na taasisi za umma na binafsi….

Zanzibar yaadhimisha Siku ya Vinasaba Duniani

Na Rahma Khamis – Maelezo Zanzibar      Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amewataka Mawakala wa Maabara ya Serikali kuendelea kuwa waaminifu na waadilifu katika kazi zao za kiuchunguzi wa matatizo ili wananchi waamini majibu yanayotolewa na…

TFS yatoa milioni 20 waathirika wa mafuriko Rufiji, Kibiti

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Pwani kiasi cha sh.milioni 20 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti. Aidha imetoa eneo Chumbi Rufiji lenye viwanja 600 ili…