Category: Kimataifa
Papa Francis akosoa kuibuka tena kwa vita
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis, leo ameanza ziara ya siku nne nchini Luxembourg na Ubelgiji akitoa wito wa diplomasia ya kimataifa na mashauriano huku kukiwa na wimbi la mizozo kote ulimwenguni. Papa Francis anapanga kuutumia muda wake katika…
Ulimwengu wataka Mashariki ya Kati isitumbukie vitani
Viongozi mbalimbali wa dunia wamehutubia mkutano wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa wakiutahadharisha ulimwengu kutokana na kuanza kutanuka kwa vita vya Mashariki ya Kati. Mbali na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, Rais wa Marekani, Joe Biden,…
Marekani : Iran inataka kumuua Trump
IDARA ya Ujasusi ya Marekani imemuonya mgombea urais kwa tiketi ya Republican, Donald Trump, juu ya kile inachodai ni kitisho cha kweli na cha wazi kutoka Iran inayotaka kumuua. Timu ya kampeni ya mgombea huyo ilisema kwenye taarifa yake ya…
Wasafirishaji binadamu wakamatwa
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako katika majengo kadhaa kusini magharibi mwa nchi hiyo ili kuwakamata watu wanaojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu . Jeshi la Polisi nchini humo tayari limeshapokea hati nne za kuwakamata na msako huo utaendelea kufanyika katika…
P Didy aomba kuzungumza na watoto wake
Na Isri Mohamed Wakati akisubiri kusikiliza kesi yake katika kituo cha Metropolitan Detention Center cha Brooklyn, New York City, Rapa Sean Didy Combs maarufu kama P Didy, ameomba kuzungumza na watoto wake kwa njia ya simu ili kujua hali zao….
Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme
Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo la kati mwa Ukraine, Poltava limeharibu miundo mbinu ya nishati na kukata umeme kwenye makazi 20. Haya yamesemwa leo na mamlaka katika eneo hilo. Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo…





