Category: MCHANGANYIKO
Utasa unavyogeuka laana kwa wanawake
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Geita “Kila mwanadamu ameumbwa kwa kusudi maalumu la mwenyezi Mungu” msemo huu hutumiwa sana na baadhi ya watu wenye imani tofauti wakimsifu na kumtukuza Muumba wao kwa matendo makuu aliyowatendea katika dunia tuliyomo. Kuna watu wanafikiri…
Samia kusafiri kwa SGR Dar-Dodoma
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kusafiri kwa treni ya reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma Agosti Mosi, mwaka huu. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano cha Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema Rais…
Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa kimataifa wa barabara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la tisa la Kimataifa la Usafiri Endelevu na Ubunifu Bora ambao umeandaliwa na Chama cha Wataalamu wa Barabara (TARA). Mkutano huo utakaofanyika jijini Arusha wiki ijayo utafunguliwa na Waziri…
Meli za kivita kutoka China zawasilia nchini kuadhimisha miaka 60 ya JWTZ
Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu maadhimisho…
Ruto ateua vigogo wa upinzani kuwa mawaziri
Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la mawaziri, ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja wa maandamano ya kupinga serikali. Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la…
Kadi za NEC kutumika chaguzi zijazo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kadi za mpiga kura zilizotolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC) mwaka 2015 na 2020 zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhan Kailima…





