JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TAWA yatoa madawati shule ya Msingi Changarawe wilayani Mvomero

Na Mwandishi wetu,JamuhuriMedia, Morogoro MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule ya Msingi Changarawe iliyopo kata ya Mzumbe, Kijiji cha Changarawe wilayani Mvomero Mkoa wa…

Waziri Kairuki aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki mkutano wa pili wa Shirika la Utalii Duniani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Pili wa Shirika la Utalii Duniani – Kanda ya Afrika (Brand Africa ) Kuhusu Utangazaji Utalii unaoongozwa na mada isemayo: “Kuitangaza Afrika kwa lengo la…

Mitungi ya gesi ya bil.10/- kutolewa na Serikali 2024/25 – Kapinga

πŸ“Œ Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia πŸ“Œ Serikali kushirikiana na Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini πŸ“Œ Tanzani yatajwa kinara Nishati Safi ya Kupikia Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema…

Diwani Kimwanga : Awataka wazazi kupuuza taarifa za kutekwa kwa watoto

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Diwani wa Kata ya Makulumla Wilaya ya Ubungo, Jijiji Dar es Salaam, Bakari Kimwanga, amesema kumekuwa na taarifa nyingi zinazohusiana na kutekwa kwa watoto wakiwa shuleni ambapo amesema taarifa hizo kuwa sio nyingi…

Dira mpya itafsiri maono ya Rais Samia

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema kupitia dira mpya anatamani viongozi kuangalia muelekeo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kutafsiri maono yake katika misingi ya ujenzi wa taifa lenye usawa, haki na uhuru wa watu. Bomboko amesema hayo…

BASATA yamfungia Babu wa Tiktok

Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji β€˜Babu wa Tik tok’ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….