Deogratius Ndejembi amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM .

Ndejembi anachukua mikoba ya aliyekuwa Makamu wa Rais Dk Emmanuel Nchimbi ambaye amejiudhuru nafasi hiyo.

Katika kikao hicho kilichofanyika leo Agosti 26, 2026 jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambaye Samia Saluhu Hassan kimemvua Dk Chimbi uanachama wa CCM.