Asante sana Lukuvi, wengine wakuige

Wahenga walisema: “Tenda wema nenda zako.” Wahaya na Wanyambo wanasema: “Ekigambo kilungi kigambwa.” Nao Wahehe wanasema: “Uwema kigendelo” au “Utende wema ubitage”; na kadhalika. Sasa ni miezi minne tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (pichani), alipofanya ziara ya kihistoria katika wilaya za Karagwe na Kyerwa mkoani Kagera. Lakini kazi na…

Read More

Maharamia watamba Rorya

Wizara ya Fedha imeombwa ipeleke boti wilayani Rorya, Mara ili kukabiliana na maharamia katika Ziwa Victoria. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Simon Chacha, amesema matukio ya uvuvi haramu na biashara ya magendo vinashamiri Ziwa Victoria upande wa Rorya kutokana na kukosekana kwa boti ya doria. Amesema maharamia wakiwamo wanaotoka nchi jirani, hupora nyavu, samaki, mafuta…

Read More

Sunny Safaris waishi kwa bahshishi

Wafanyakazi 23 wa Kampuni ya Utalii ya Sunny Safaris ya jijini Arusha, wamelalamikia uongozi wa kampuni hiyo kwa kufanya kazi bila mikataba na kunyimwa mishahara kwa miaka miwili. Wanadai kuwa uongozi wa kampuni hiyo umekuwa ukiwafanyisha kazi kwa saa nyingi bila malipo ya ziada, huku wakiendelea kukosa mishahara kwa madai kuwa kampuni haina fedha. Wafanyakazi…

Read More

Kilichomponza tajiri Zakaria

Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo mkazi wa Tarime mkoani Mara, anayemiliki vitegauchumi mbalimbali yakiwamo mabasi ya Zakaria, amekabidhi nyaraka za umiliki wa mali hizo serikalini, wiki iliyopita. Zakaria anashikiliwa rumande akituhumiwa kuwajeruhi kwa…

Read More

Serikali itengeneze matajiri wapya

Na Deodatus Balile, Mtwara Leo naandika makala hii nikiwa mjini Mtwara. Nimefika Mtwara Ijumaa asubuhi. Ni mwaka wa tatu sasa tangu nimetoka Mtwara. Naikumbuka Mtwara ya mwaka 2015, taarifa za ugunduzi wa gesi zilipoenea kila kona. Nakumbuka magari makubwa niliyokuwa nakutana nayo katikati ya mji wa Mtwara na ghafla mji ulivyobadilika ukawa kama Dar es…

Read More