JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kesi ya Kova, Nzowa kesho

Kesi inayowahusisha makamishna wawili wa polisi wanaogombea nyumba – Kamishna Suleiman Kova na Kamishna Msaidizi Mwandamizi Godfrey Nzowa inaendelea kesho mahakamani. Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba  Kimweri, alipuuza maagizo ya Rais Dk. John Magufuli na kuzalisha mgogoro wa…

Kesi ya matajiri Moshi hatihati

Wingu zito limegubika hatima ya kesi inayowahusu wafanyabiashara matajiri wanaotuhumiwa kumuua John Massawe, katika Kijiji cha Kindi, Kibosho mkoani Kilimanjaro. Watuhumiwa watatu kati ya watano walikamatwa hivi karibuni mkoani Mwanza na kurejeshwa Moshi, kukamilisha taratibu za kuwafikisha mahakamani. Masawe aliuawa…

Jipu jipya

Ufisadi mpya na mwanya wa wizi wa mapato makubwa ya Serikali umebainika kufanywa kwenye uingizaji wa gesi, mafuta ya kula, mafuta ya magari na mafuta ya viwandani nchini kutokana na kupuuzwa kwa matumizi ya mita (flow meters). Katika eneo la…

Tajiri kizimbani akituhumiwa kughushi nyaraka Moshi

Mfanyabiashara maarufu, Thobias Moshi (47), maarufu kwa jina la ‘Toby’ mkazi wa Shanty Town katika Manispaa ya Moshi, amefikishwa mahakamani akishitakiwa kwa makosa mawili ya kughushi nyaraka. Moshi, ambaye ni Mkurugenzi wa Mabasi ya Amazon na mmliki wa vitegauchumi Moshi…

Madeni ya JK balaa

Deni kubwa ambalo Serikali inadaiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, linatishia uhai wa mifuko hiyo, kiasi cha baadhi kuanza kusuasua na hata kushindwa kulipa mafao kwa wanachama wake, JAMHURI inathibitisha. Hadi mwanzoni mwa mwaka jana, mifuko yote sita ilikuwa…

Maalim ajivua lawama Z’bar

Sasa ni dhahiri. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, ametabiri hatari ya mgawanyiko unaoweza kuikumba Zanzibar, lakini asingependa alaumiwe kwa uamuzi utakaochukuliwa Zanzibar. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na Serikali ya Mapinduzi wametangaza…