Diwani wa Kata ya Nyugwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Donald Kabosolo, anafanya kazi ya ziada kuzima tuhuma dhidi yake juu ya uhusiano wa kingono na mwanafunzi wa sekondari ya kata hiyo iliyopo katika  Wilaya ya Nyang'hwale, mkoani Geita. Uchunguzi…
Soma zaidi...