Category: Michezo
Kilimanjaro Stars Uso kwa uso Na Zanzibar Heroes Michuano ya CECAFA
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kesho Alhamis Desemba 7, 2017 inatupa karata yake ya pili kwenye michuano ya CECAFA dhidi ya Zanzibar Heroes ya Zanzibar kwenye mchezo wa kwanza utakaoanza saa 8.00 mchana kwenye Uwanja wa Kenyatta,…
Man United, Yatinga 16 Bora Klabu Bingwa Ulaya
Michezo nane ya kwanza ya hatua ya mwisho ya makundi ya klabu bingwa barani ulaya imechezwa usiku huu na jumla ya timu kumi na mbili tayari zimefuzu kwa hatua ya kumi na sita bora. Katika kundi A Manchester United, wameibuka…
Urusi Yapigwa Kitanzi Kushiriki Michuano ya Olimpiki 2018
Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, imeifungia nchi ya urusi kushiriki michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itayofanyika katika jiji la Pyeongchang nchini Korea kusini mwakani. Rais wa IOC Thomas Bach na bodi yake walitangaza adhabu hiyo jana jioni baada…
SOKA: Wabunge wa Tanzania Wamewatandika Wabunge wa Burundi
KATIKA Michuano ya East Africa Parliamentary Games inayoshirikisha Vilabu vya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Timu ya mpira wa miguu Bunge la Tanzania jana iliibuka na ushindi wa…
Hii Hapa Ratiba ya Kombe la FA, Liverpool Uso kwa Uso na Everton
Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018 Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton, huku bingwa mtetezi Arsenal…
Majaliwa Awataka Wabunge wa EAC Kutumia Michezo Kuimarisha Ushirikiano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wabunge wanaoshiriki mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wayatumie kuimarisha ushirikiano. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Desemba 4, 2017) wakati akifungua mechi ya mpira wa miguu iliyozikutanisha timu za Tanzania na Burundi…





