Category: Maoni ya Mhariri
Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa Uchaguzi huru, wa amani
Watanzania na walimwengu wiki hii wanafanya kumbukizi ya miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni muda mrefu tangu alipofariki dunia, lakini bado wapenda amani na maendeleo wanaendelea kumkumbuka na kumuenzi. Kumbukizi ya mwaka huu,…
Amani ya nchi mikononi mwa wahariri na Tume
Wiki iliyopita, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliandaa mikutano mbalimbali na wadau wake wakiwamo wamiliki wa vyombo vya habari na wahariri. Katika mikutano hiyo, mengi yamezungumzwa lakini kubwa ni kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini kuagizwa kufuata maadili…
Heko Jaji Lubuva
Jumamosi ya Agosti 29, mwaka huu Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva aliyezungumzia mambo mbalimbali likiwamo la namna ya kuhesabu kura. Mahojiano hayo yalizaa habari ndefu…
Amani iendelee kutamalaki Uchaguzi Mkuu
Tumeanza wiki ya pili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Tunawapongeza Watanzania kwa kuvuka wiki ya kwanza tukiwa na kampeni zilizotawaliwa zaidi na hoja badala ya vurugu. Wajibu wetu kama vyombo vya habari ni kuendelea kulisisitiza suala la amani kwa kipindi…
Tunataka kampeni za kujibu hoja si matusi
Vyama vya siasa vilivyokamilisha vigezo vilivyowe kwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kupata kibali rasmi cha kuanza kampeni za kunadi sera za vyama vyao ili kuwashawishi wapiga kura kuwachagua viongozi na vyama wavipendavyo katika uchaguzi mkuu unaotajiwa…
Serikali isifumbie macho wawekezaji hawa
Katika Gazeti letu la JAMHURI, toleo la wiki iliyopita na wiki hii tumeripoti kwa kina habari ya uchunguzi kuhusu mwekezaji wa kampuni ya utafutaji wa mafuta na gesi, kusini mwa Ziwa Tanganyika, kutoa chanjo kwa wafanyakazi wake isiyotumika nchini. Chanjo…