Category: Siasa
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (5)
Kiongozi mwingine wa tatu wa dini ambaye ni vizuri kumsoma katika falsafa na kauli zake mbele ya Mwenyezi Mungu, ni Mwenyekiti Kamara Kasupa.
Mwaka 2013 tuwe na maono makubwa
Nitumie wasaa huu kumimina salamu nyingi za Krismasi kwa wasomaji wetu. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuona kuwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2012 na kujiandaa kuuanza mwaka 2013.
Nyerere: Tuoneshe demokrasia kivitendo
“… ingawa kwa nadharia muundo wa Chama chetu (akimaanisha CCM) ni wa kidemokrasia, lakini katika vitendo hatuonyeshi demokrasia wakati wote na kwa shughuli zetu zote.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo ni sehemu ya wosia wake wa kuitaka CCM ijenge dhana ya kuonesha demokrasia ya kweli kwa vitendo.
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
- CRDB yahitimisha Kampeni ya Fainali ndiyo Mpango na Tembo Card Washindi 10 kupelekea Kombe la Dunia 2026
- TAMA yapokea ujumbe wa kitaalamu kutoka Taasisi ya hali ya hewa a Denmark
- Jumla ya macho 996 kwa wagonjwa 823 yamefanyiwa uchunguzi kufanyiwa upasuaji
- Mzee Onyango afariki dunia
- Tanzania, Canada zaimarisha ushirikiano katika kuendeleza haki za wenye ulemavu
Habari mpya
- CRDB yahitimisha Kampeni ya Fainali ndiyo Mpango na Tembo Card Washindi 10 kupelekea Kombe la Dunia 2026
- TAMA yapokea ujumbe wa kitaalamu kutoka Taasisi ya hali ya hewa a Denmark
- Jumla ya macho 996 kwa wagonjwa 823 yamefanyiwa uchunguzi kufanyiwa upasuaji
- Mzee Onyango afariki dunia
- Tanzania, Canada zaimarisha ushirikiano katika kuendeleza haki za wenye ulemavu
- Jaji Mkuu apongeza ushirikiano wa wadau wa mahakama
- Historia ya Uhuru wa Tanzania na ukombozi wa Afrika kung’ara Paris
- CP Kavirondo: Teknolojia ni nguzo muhimu ya urekebishaji wafungwa
- Rais Dk Mwinyi ateta na Rais wa Singapore Ikulu Zanzibar
- Waziri wa Mambo ya Nje wa Slovakia awasili nchini
- TANESCO Ruvuma yatoa elimu kwa wananchi umuhimu wa kulinda miundombinu ya umeme
- Watuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara raia wa China wakamatwa
- Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt Maulid afungua mafunzo ya Uongozi wa Kimkakati kwa sekondari Shinyanga
- Ushirikiano wa wadau ni muhimu kufikia lengo la nishati safi ya kupikia la 2034 – Salome
- Mkuu wa Jeshi la Magereza afungua mafunzo ya utekelezaji wa programu za urekebishaji kwa maafisa ustawi wa jamii