JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

BADO HUJACHELEWA KUSEMA HAPANA KWA SIGARA

Kama ni mvutaji wa sigara, basi pia unapaswa kufahamu ni kwa kiasi gani uvutaji wa sigara ulivyo na madhara kwa afya yako. Nimejaribu kufanya utafiti mdogo ikiwa ni pamoja na kuongea na ‘wavutaji mahiri’ na asilimia 90 ya wavutaji,  45…

GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA

NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…

UAMUZI HUU WA SERIKALI UTAINYONGA ELIMU YETU

Na ATHUMANI KANJU Hivi karibuni, Serikali kupitia Kamishna wa Elimu, Dk Edicome Shirima, ilitoa taarifa kwa umma ikizitaka shule binafsi kuwarejesha mara moja katika madarasa yao wanafunzi waliokaririshwa madarasa ama kuhamishiwa shule nyingine kwa kigezo cha kushindwa kufikia wastani uliowekwa…

DAWA BANDIA TISHIO AFRIKA

NA MTANDAO Ongezeko la biashara ya dawa bandia limekuwa janga kubwa barani Afrika linalokua kwa kasi, huku ikiripotiwa kusababisha vifo vya watu wapatao 100,000 kwa mwaka. Utafiti uliofanywa na Shirika la Kimarekani linalojihusisha na dawa za magonjwa ya tropiki, limesema…

MATATIZO YANAPOZIDI UKOMBOZI UNAKARIBIA

Na William BHOKE Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Yohane Paul I, amewahi kusema, “Eee Bwana nichukue nilivyo, lakini unifanye niwe kama unavyotaka wewe.” Kama wewe unapumua, kuwa na matatizo ni kanuni ya maisha. Matatizo katika maisha ni…

Rushwa ni Wizi, Dawa Yake ni Uwazi

“Rushwa ni wizi wa fedha za umma”. Hivyo ndivyo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, Roeland van de Geer, anavyotaka Watanzania waielewe rushwa. Rushwa, kwa mujibu wa Balozi Geer, ni chanzo kikubwa cha…