Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.