Zaidi ya vituo 43,000 vya kupigia kura vimewasilisha matokeo yao ya urais kutoka kwa kura ya Jumanne. Matokeo ya muda yanaonyesha ushindani mkali kati ya wagombeaji wawili wakuu wa urais.

Matokeo ya awali ya urais yanaonyesha ushindani mkali kati ya wagombea wawili wakuu, Raila Odinga na William Ruto.

Kila mgombeaji alipata kura ambazo zimekuwa na utofauti wa asilia ndogo.

Tume ya uchaguzi inasema inaamini Wakenya milioni 13.2 wamepiga kura. Hiyo ni asilimia 60 ya wapiga kura waliojiandikisha. Katika uchaguzi wa 2017, karibu asilimia 80 ya wapiga kura waliojiandikisha walipiga kura.

jamhuridigital instagram facebook

By Jamhuri