Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, Akitoa pole  kwa baadhi ya Majeruhi Katika Hospitali ya Wilaya hiyo  (Tumaini) iliyopo Katesh, alipowatembelea waathirika wa mafuriko hayo katika baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Hanang.(Picha na Fahadi Siraji)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana,akizungumza na Kijana Faustine alipokwenda kutoa  pole  kwa Wakazi wa Kata ya Gendambi alipowatembelea waathirika wa mafuriko hayo katika baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Hanang.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana,Akiwapa pole Wakazi wa Kata ya Gendambi alipowatembelea waathirika wa mafuriko hayo katika baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Hanang’.

By Jamhuri