Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Jokate Urban Mwegelo akiwasili katika Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua barua ya uteuzi wa nafati ya Katibu Mkuu UWT leo Oktoba 04, 2023 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)Jokate Urban Mwegelo akisalimiana na wakinamama alipowasili katika Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kuchukua barua ya uteuzi katika ofisi ndogo za CCM leo Oktoba 04, 2023 Jijin Dar es Salaam
Wema Sepetu ( kwanza kushoto) na Lulu Diva katikati wakicheza katika hafla za mapokezi ya Katibu wa (UWT) Jokate Mwegelo aliyefika kuchukua barua ya uteuzi katika ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijin Dar es Salaam leo Oktoba 04, 2023
Mbuge wa Viti Maalumu Neema Lugangila katika hafla ndogo ya mapokezi ya Katibu Mkuu wa (UWT) Jokate Mwegelo