Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Spika na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, kwenye jingo la Utawala, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri