Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Ujumbe wake akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi kwenye Ofisi ya Rais El-Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi ya Rais El-Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Rais El- Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.

By Jamhuri