Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023.Mkutano huo wa Mifumo ya Chakula Afrika unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Wahariri pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Kikao kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
gozi mbalimbali waliohudhuria Kikao kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.