JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

From representation to results: How President Samia is redefining women’s diplomacy in Africa

By Ellen Azaria Maduhu, JamhuiMedia, Dodoma Every year on June 24, the world marks the International Day of Women in Diplomacy, a day established by the United Nations in 2022 to recognize the contribution of women in diplomacy, peacebuilding, conflict…

Rais Samia azindua huduma ya saratani KCMC, aahidi ushirikiano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na taasisi za afya, itaendelea kupanua huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani katika kanda mbalimbali za nchi ili kupunguza mzigo…

Bangu: Mfumo wa stakabadhi za ghala ni imara

Bodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kuimarisha usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake zinatatuliwa bila…

Africa Agri Expo Marks 10th Anniversary, Expands Focus on Innovation in Agriculture, Food and Livestock

The 10th edition of the Africa Agri Expo is scheduled to take place on September 2–3, 2026, in Dar es Salaam, Tanzania, bringing together farmers, agribusiness leaders, investors, policymakers and innovators from across Africa and beyond. The event will be…

REA Zambia yafurahishwa na ubora wa miradi ya umeme Vijijini Tanzania

Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia yapongeza utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Pongezi hizo zimetolewa leo Juni 24, 2026 na Mtendaji Mkuu…

MD Twange atoa rai kwa mameneja TANESCO kuongeza kasi kupambana na wizi wa miundombinu ya umeme

📌Afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Mameneja na Wakurugenzi wa Kanda, Dodoma 📌Asisitiza umuhimu wa kuongeza ubunifu katika ukusanyaji wa mapato 📌Awapongeza kwa kazi nzuri na kuendelea kuimarisha mahusiano na wadau Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw….