JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vituo vya utayari Pwani vyaleta mafanikio kwa watoto wa wafugaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mazingira ya elimu yanafaa kuboreshwa na kuwa na miundombinu rafiki ,kuanzia Ngazi ya awali ili kufikia safari ya elimu ya msingi hadi ngazi za vyuo vikuu. Hatua hii ni njema kwakuwa mafanikio ya watu wengi…

Serikali yabainisha mikakati ya kupambana na changamoto utoaji mimba usio salama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia-WF,Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel amebainisha juhudi zinazofanywa na Wizara ya Afya katika mapambano dhidi ya changamoto ya utoaji mimba usio salama ikiwemo, kutoa elimu juu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike ambao…

TSC kuwasaidia walimu kuielewa sheria ya Tume wa Walimu sura 448 na kanuni zake

Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Katavi anayeshughulikia elimu, Mwl. Pendo Rweyemamu akitoa neno wakati wa kikao kazi cha kupitia rasimu ya ufafanuzi wa Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Sura 448 na Kanuni zake za mwaka 2016. Kikao…

Rais wa Marekani Joe Biden aanguka katika hafla

Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado. Biden,ambaye ndiye rais mkongwe zaidi wa taifa hilo anayehudumu akiwa na umri wa…

Chikota ataka kasi usambazaji wa gesi asilia majumbani

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri serikali kuendelea kutenga fedha kwa ajili ya usambazaji wa nishati ya gesi asilia majumbani ili kupunguza matumizi ya kuni kwa wakazi wa Lindi na Mtwara. Chikota akichangia hotuba ya…

Mtatiru aishukia Serikali mradi wa umeme wa upepo

Na.Mwandishi Wetu-DODOMA Mbuge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika Wilaya ya Manyoni na Ikungi zilizopo Mkoani Singida ili kuondoa adha ya kukatika mara kwa mara katika maeneo hayo. Mbunge Mtaturu ametoa ombi…