JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Iran yatoa neno kuhusu pendekezo la usitishwaji mapigano

Iran imejibu pendekezo la usitishwaji mapigano na kufunguliwa Mlango Bahari wa Hormuz na kuelezea msimamo na matakwa yake na kusisitiza kuwa mazungumzo “hayaendani na masharti wala vitisho vya kutenda uhalifu wa kivita. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa…

Waziri Mkuu akagua madhara ya moto soko la Simu 2000

▪︎ Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi ▪︎ Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa wafanyabiashara halisi Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza hatua za haraka kurejesha shughuli za biashara kufuatia ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo…

Mwalimu auawa akituhumiwa kuiba nyeti Sumbawanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa (25) kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji ya Henry Shubati Myuwanga (50), Mwalimu wa Shule ya Msingi Wema Mkoani Songwe. Tukio hilo la mauaji lilitokea Aprili 4, 2026 majira ya…

Waziri Chongolo awatangazia neema wa Idofi, kunufaika na mardi wa umwagiliaji ekari 1,300

📍NIRC Makambako. Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo ametangaza neema kwa wakulima wa Idofi, Wilaya ya Makambako, ambapo Serikai inaenda kutekeleza mradi Mkubwa wa Umwagiliaji utakaonufaisha ekari zaidi ya 1.300. Amesema, hatua hiyo itainua uchumi hivyo ni muhimu kuunga mkono…

Rushwa, ukiritimba vyatajwa kuwa chanzo cha kupunguza furaha ya wananchi

Na Dotto Kwilasa,JemhuriMedia,Dodoma Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika, Dkt. Dickson Chilongani, ameiomba Serikali kuongeza jitihada katika kushughulikia kero zinazowakabili wananchi, hususan vitendo vya rushwa, ukiritimba na kunyimwa haki katika baadhi ya taasisi na ofisi za…