JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Iran yatoa likizo ya siku mbili kutokana na joto kali

Iran imetangaza likizo ya siku mbili kwa wafanyakazi wa Serikali na benki kutokana na hali ya joto inayoongezeka kote nchini humo. Uamuzi huo umewadia wakati nchi duniani kote, ikiwa ni pamoja na Iran, zinakabiliwa na ongezeko la joto la kihistoria…

Ukosefu wa dola ya Marekani waathiri bei ya mafuta nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA, imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha, mafuta aina ya Petroli imepanda kwa shilingi 443 na dizeli ikipanda kwa shilingi 391 kwa kila lita moja kwa mafuta yanayouzwa…

Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kujadiliana kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini na kuzitangaza…

NMB yadhamini maonesho ya Nane Nane kwa mil.80/-

BENKI  ya NMB yadhamini Maonesho ya Nane Nane kwa Shilingi Mil. 80/-Kwa kuthamini mchango wa kilimo katika ukuaji wa uchumi nchini, Benki ya NMB imedhamini Maonesho ya Nane Nane kwa kutoa shilingi milioni 80. Maonesho haya makubwa ya wakulima Nane…

Shughuli ya kuwaokoa 13 waliozama ziwa Victoria yakwama

Watu 13 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine 14 wakinusurika kifo baada ya kuzama ziwa Victoria eneo la Mchigondo kata ya Igundu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Igundu, Sumila Nyamkinda Kafumu…