JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kutembelea Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jackson Kiswaga leo Machi 12, 2026 imewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mradi…

Wananchi wanayo matumaini makubwa na REA – Mhandisi Saidy

Awataka watumishi kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na maarifa Morogoro📍 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumaini na Serikali kupitia REA katika kuwaboreshea hali ya maisha na amewataka Watumishi…

Rais Samia kumuasili mtoto aliyetelekezwa kunavyodhihirisha upendo wake kwa jamii

Na Dkt. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Watoto wana haki zao za msingi. Wanapaswa kupendwa, kulindwa, kusikiliza, kupewa malezi na matunzo. Pia, watoto wanapaswa kupewa mahitaji yote ya msingi yaani chakula, mavazi na malazi. Kimsingi, ni wajibu wa msingi kwa wazazi…

Papa Leo ahuzunishwa na mauaji ya watoto Iran

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV (14 ) amesikitishwa na vifo vya raia wengi katika vita vya Iran. Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran vimeingia siku yake ya 12. Papa pia ameelezea kuwa karibu na watu…

Tanzania, Uganda zaainisha maeneo manne ya ushirikiano wa kimkakati

TANZANIA na Uganda zimekutana kupitia maeneo ya ushirikiano wa maendeleo ya pamoja ya kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizo mbili rafiki, katika Mkutano wa Tano (5) wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) Machi 11, 2026 Hatua hiyo imekuja…

Msajili wa Hazina na Arise Investments kuimarisha uwekezaji NMB

Na Mwandishi wa OMH, Dar es Salaam Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, leo Machi 11, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Gavin Tipper, Afisa Mtendaji Mkuu wa Arise Investments, pamoja na ujumbe wake katika ofisi yake jijini Dar es Salaam,…