JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mradi wa Lupali mbioni kukamilika, kuingiza umeme gridi ya Taifa kilowati 317

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Njombe Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Lupali unaotumia nguvu ya maporomoko madogo ya maji ya mto Lupali umefikia asilimia 99 ambao ukikamilika utaingizwa kwenye gridi ya taifa kilowati 317 na kuchangia upatikanaji umeme wa…

Balozi Mbundi akutana na wanachuo NDC asisitiza ushirikiano wa kimataifa

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundi amekutana na Washiriki wa Kozi ya 14 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi  (NDC) waliotembelea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Serikali yapendekeza kukusanya na kutumia trilioni 62.334/- kwa mwaka wa fedha 2026/27

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, ambapo katika kipindi hicho, inatarajia kukusanya nakutumia shilingi…

Tanzania yashiriki mkutano wa uwezeshaji wanawake

Tanzania imeshiriki mkutano uliohusu kufanikisha usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake wa rika zote wakiwemo wazee. Mkutano huo uliofanyika Machi 10, 2025 ni sehemu ya mkutano wa 70 wa Hali ya Wanawake Duniani (CSW 70) ulioanza Machi 09 hadi Machi…

Takwimu za TPDC zafichua nafasi kubwa ya vijana sekta ya nishati

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Takribani asilimia 79 ya nguvu kazi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ni vijana, hatua inayotafsiri dhamira ya Serikali ya kutoa nafasi kwenye kundi hilo kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya sekta ya nishati na uchumi…

Tanzania, Uganda zasisitiza utekelezaji kwa vitendo katika kukuza ushirikiano wa uwili NA

Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano Akifungua kikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kinachofanyika jijini Dar…