Latest Posts
Serikali kuja na mpango ufugaji nyuki wa manzuki
Serikali imejipanga kuja na mpango wa ufugaji nyuki ujulikanao kama Manzuki ambapo nyuki watakuwa wanafugwa katika eneo maalum bila kuathiri uhifadhi. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata…
Wadau wachangia bil.1.26/- kumuunga mkono Rais Samia kuzisaidia timu
Wadau wa michezo nchini wamechanga jumla ya sh. bilioni 1.26 ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuzisaidia timu za Serengeti Girls na Tembo Warriors ambazo zinapaswa kushiriki michuano ya kimataifa huko India na Uturuki. “Kikao hiki…
Serikali kuendelea kumkumbuka Augustino Mrema
Waziri Mku Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kumkumbuka Augustino Lyatonga Mrema kutokana na mchango wake mkubwa wa kuendeleza mahusiano na vyama vya siasa. “Mheshimiwa Mrema atakumbukwa kama kiongozi mkuu wa Chama cha TLP kwa muda mrefu sana. Na akiwa katika…
Msako wa mifuko ya plastiki kuanza Jumatatu
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Dar MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29 kwenye Masoko yote ya Mkoa huo. RC Makalla ametoa maelekezo hayo wakati wa kikao…