Latest Posts
Tusiwe taifa la kuwaza mapumziko
Rais John Magufuli alipozungumza na viongozi wa dini, kwa chini chini kulionekana tofauti za hapa na pale. Tofauti hizo hazikuzungumzwa kwa mwangwi, na kwa maana hiyo ilisaidia kutoibua hisia za utengano. Kiongozi mmoja wa Kikristo alitoa maombi yaliyonikumbusha maneno niliyopata…
Hekima na busara zitawale wasanii
Walimwengu wanatambua wasanii wa muziki ni kundi ambalo linatoa mafunzo yenye maarifa mbalimbali kwa jamii. Tungo zao hutazamwa kwa shauku kubwa, kwa matarajio ya kuelimisha na kuburudisha jamii. Aidha, ndimi zao zinatawaliwa na adabu. Katika fasihi hii namtazama mwana mama…
Yah: Njombe nini kimetusibu, ni ukarimu wetu?
Kabla sijaanza na salamu ni vema nikatumia fursa hii kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa na watoto wote waliopoteza marafiki zao wa utotoni. Wapo watoto ambao kwa kitendo hiki huenda ndoto zao pia zikawa zimekufa kutokana na wenzao kutendewa matukio ya…
Kipanya: Nilikotoka
Mchora katuni maarufu, Ally Masoud (Masoud Kipanya), amesema hataogopa kumchora rais wa nchi kwa kuwa havunji sheria na kwamba uchoraji wa katuni umedumu kwa muda mrefu duniani kote. Kipanya licha ya kuwa ni mchoraji wa katuni, pia ni mtangazaji wa…
Ambokile amefungua njia
Mchezaji wa zamani wa Mbeya City, Eliud Ambokile (pichani), wiki iliyopita alisafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kujiunga na timu ya Black Leopards inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo kwa mkopo wa miezi mitatu. Katika maisha ya soka…
TAZARA ‘imeuzwa’
Mkakati maalumu wa kuiua Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) unaohusisha kukodisha reli kwa shirika binafsi umefichuliwa, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini. Pamoja na kukodisha reli, kiwanda cha kuchakata kokoto cha Kongolo, mali ya mamlaka hiyo kinatafutiwa ‘mnunuzi’….