Latest Posts
Waziri Maliasili afanya ziara ya kikazi TAWA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) zilizopo mkoani Morogoro. Ziara hiyo imelenga kuzungumza na menejimenti na watumishi wa TAWA kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu Mamlaka, ikiwa ni…
‘Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme Rumakali’
Waziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi Trilioni 1.4 uliopo wilayani Makete mkoani Njombe ili kuwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha kutoka vyanzo…
Tunathamini mchango unaotolewa na wahandisi wanawake’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wahandisi wanawake na kwamba inathamini kazi za kihandisi wanazozifanya katika kuchangia ukuaji wa uchumi nchini….
Waziri Mkenda aleza siri ya Serikali kuwekeza katika elimu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda amesema kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika sekta ya elimu nchini ili iweze kutoa matokeo bora kwa Watanzania na mipango mbalimbali ya Serikali. Prof.Mkenda…
Tanzania, Urusi kuongeza maeneo ya ushirikiano
Serikali ya Tanzania na Urusi zimekubaliana kuongeza maeneo ya ushirikiano katika sekta za biashara na uwekezaji,utalii pamoja na utamaduni. Makubaliano hayo yamefikiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk alipokutana kwa…





