Latest Posts
Serikali imo gizani katazo la Marekani
Takribani wiki mbili baada ya Marekani kuiingiza Tanzania katika orodha ya nchi ambazo wahamiaji wake hawaruhusiwi kuingia nchini humo, Serikali imesema bado haijapata taarifa rasmi kuhusiana na suala hilo. Aidha, Serikali imesema pia haijapata taarifa zozote kuhusiana na katazo la…
Uzimaji wa simu zisizosajiliwa waendelea
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kutekeleza ahadi ya kuzima laini zote za simua mbazo hazijasajiliwa kwa kutumia alama za vidole. Kwa mujibu wa Mamlaka hiyo, hadi Februari 12, mwaka huu jumla ya laini za simu 7,316,445 zilikuwa zimezimwa baada…
Utumishi wa umma usigeuzwe adhabu
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (TAMISEMI), imetangaza kuzuia safari za watumishi wa umma katika ofisi za mikoa, wilaya na mamlaka za Serikali za Mitaa kusafiri nje ya vituo vyao vya kazi. Sababu kuu iliyotolewa na Ofisi ya…
KIJANA WA MAARIFA (13)
Tazama kile kisichofanywa na wengine na ukifanye Kila unakopita, kila unakokwenda utakutana na watu wanafanya mambo yanayofanana. Kufanya mambo yanayofanana na wengine ni ishara kuwa unachokifanya kina ushindani mkubwa. Kanuni za biashara zinasema, kama wazalishaji ni wengi, wanunuzi wanakuwa wachache…
Uamuzi wa Busara (12)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi watu wanavyolinganisha hali ya kupata uhuru na hali ilivyokuwa kipindi cha mkoloni. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Azimio la Arusha ni jibu la aina ya maswali. Azimio…
Kwaheri Kanali Kabenga Nsa Kaisi
Maisha binafsi ya Kanali Kabenga Nsa Kaisi yalijulikana kwa watu wachache sana, lakini maisha yake ya kikazi yalijulikana vizuri sana katika sehemu zote alizowahi kufanya kazi. Wanaomfahamu na waliowahi kukumbana naye kikazi wanamwelezea kwamba alikuwa ni ‘jembe’ la aina yake…



