Latest Posts
TIC yafafanua uwekezaji kupungua
Shughuli za uwekezaji duniani zimedorora kwa kiasi kikubwa miaka ya hivi karibuni na hii imetajwa kuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mitaji binafsi kutoka nje (FDI), ambako kumejitokeza nchini tangu mwaka 2015, wataalamu wa sekta hii muhimu katika uchumi wa…
Mabalozi SADC waunda umoja Qatar
Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya…
Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele
Mwezi mzima wa Oktoba tumeadhimisha na kushiriki kwenye makongamano mbalimbali ya kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa. ‘Vumbi’ la makongamano na maneno mengi kwenye vyombo vya habari, mitandaoni na vijiweni sasa limetulia, lakini limeacha mambo ya…
Rais wangu utatukuzwa kwa mema yako (2)
Baba Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, mjukuu wako, yaani binti yangu amejiunga Chuo Kikuu Mlimani kwa mwaka wa kwanza akichukua Sayansi na Teknolojia. Amesoma kidato cha tano na cha sita Ifakara High School – shule ya Serikali. Amenyimwa mkopo eti zamani…
Viongozi wa dini tuzingatie mamlaka ya kimaadili
Mamlaka ya kimaadili ni ile hali ya mtu kuwa na tabia njema zinazoifanya jamii kumheshimu, kumuamini na kumthamini na kuwa chanzo cha mwongozo au mfano wa mwenendo sahihi kwa jamii. Huyu ni mtu ambaye anamiliki sifa ya kuwa na maarifa…
Unafahamu nini kuhusu uwakala?
Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni moja ya biashara kubwa nchini. Wapo mawakala katika mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Voda n.k. Mawakala wa kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na makampuni…





