JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania iko tayari kulisha Dunia

Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi mwaka, huku chakula hicho kikiuzwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika, Pembe…

Polisi wakamata bastola ikiwa na risasi 71

Na Mwandishi Wetu-Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linaendelea na operesheni maalumu ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uhalifu ambapo kupitia operesheni hiyo pamoja na taarifa toka kwa wananchi tumefanikiwa kukamata bastola moja aina ya CZ 75 LUGER…

Mvua ya upepo mkali yaezua mapaa Njombe,

Wakazi zaidi ya tisa wa Kijiji cha Ngelenge kilichopo katika Kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe wamekosa makazi baada ya mvua zilizoambatana na upepo zinazoendelea kunyesha mkoani hapa na kubomoa baadhi ya nyumba. Mtendaji wa kata hiyo Yusuph Lukuwi…

ZFDA yalifungia ghala la kuhifadhi chakula

Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) wamelifungia ghala iliyokua ikihifadhi bidhaa mbalimbali ikiwemo mchele kutokana na ghala hiyo kukosa sifa za kuhifadhia bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa kushtukiza kuangalia usalama wa chakula,na uhalali wa uwepo wa ghala…