Latest Posts
TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa…
MZEE KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ATHUMANI MSENGI
Rais Mstaafu ya Awamu ya Nne Dr. Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Magazeti ya Serikali Athumani Hamisi katika maziko yaliyofanyika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni…
Mohamed Salah Atwaa Tuzo y Mchezaji Bora wa Afrika
Mohamed Salah amempiku mchezaji mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane na mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kutwaa Tuzo ya Mchezaji wa Afrika wa Mwaka 2017. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Misri aliibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho dhidi ya wachezaji wenzake…
RUGEMALIRA AWATAJA ‘WEZI’ WA ESCROW MAHAKAMANI
MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya…
BABU SEYA: TUNAANDAA MAMBO MAKUBWA MASHABIKI TULIENI
NGULI wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu waachiwe huru Desemba 9 kwa msamaha wa Rais John Maguuli, leo Januari 5 wamekutana na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa,…
DROO YA 32 BORA ASFC YAFANYIKA, YANGA YAPANGWA NA IHEFU
Timu 32 zilizofuzu kwenye raundi ya 32 bora ni: Ruvu Shooting, Mwadui FC, Dodoma FC, KMC, Tanzania Prisons, Yanga, Green Worriors, JKT Oljoro, Buseresere FC, Friends Rangers, Majimaji Rangers, Singida United, Pamba SC, Azam FC, Kiluvya FC, Mwadui FC, Mbao…