JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Acha nizikumbuke enzi zetu, labda kwa hali hii zitashabihiana

Nakumbuka Lango la Chuma Mabibo bia ikiuzwa Sh. 18 yaani hii Sh. 100 ya sasa hivi unakunywa bia tano na chenji inarudi, maisha mazuri kwa mtumishi wa kila mahali, iwe serikalini au kwa mtu binafsi. Mshahara wa kima cha chini…

Benteke aweka rekodi

Mshambuliaji wa Crystal Palace, Christian Benteke, ameweka historia mpya kwa kufunga bao sekunde ya 7, baada mchezo kuanza wakati Ubelgiji ikicheza dhidi ya Gibraltar, katika kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia, Urusi 2018. Wakati Benkete aliweka rekodi hiyo baada…

Kusini mwa Afrika, watamba tuzo za Afrika

Miaka mingi iliyopita wapenzi wa soka walizoea kuona kila aina ya tuzo katika mchezo wa soka ikichukuliwa na wachezaji kutoka ukanda wa nchi za Afrika Magharibi, hali ambayo imeanza kubadilika katika siku za hivi karibuni. Hali hiyo imejidhihirisha katika kinyang’anyiro cha…

Rais Magufuli ajaribiwa

Hatua ya Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kuwafutia mashitaka ya ujangili watu tisa, wakiwamo wenye nasaba na Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla; imeibua ‘kilio’ miongoni mwa watu walio katika mapambano dhidi ya ujangili…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 22

Barabara ya Bagamoyo balaa   UCHAMBUZI WA KINA  453. Barabara za New Bagamoyo na Pugu-Chanika-Mbagala ndizo ambazo zimethibitika kuhusisha sana matatizo makubwa ya ukikwaji wa taratibu na maadili mema ya kazi.   454. New Bagamoyo Road  (a)  Urefu: Kilometa 13.4…

Katibu wa Nyerere ‘afa’ njaa

Paulo Sozigwa, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa Katibu wa Rais Julius Kambarage Nyerere, anakabiliwa na hali ngumu kimaisha. Sozigwa, ambaye kwa sasa anaumwa ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer), anaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, akisaidiwa na…