Latest Posts
Wapinzani sasa wataka Jafo ajiuzulu
Sakata la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu limechukua sura mpya baada ya wapinzani kumtaka Waziri wa Tamisemi, Selemen Jafo, kujiuzulu kutokana na ofisi yake kuvuga uchaguzi huo. Kuondolewa kwa zaidi ya asilimia 90 ya…
Mifuko mbadala isiyokuwa na ubora yaingizwa nchini
Wazalishaji wakubwa wa mifuko mbadala mkoani Kilimanjaro wameingiwa hofu ya kushindwa kufanya biashara yenye ushindani kutokana na wimbi kubwa la shehena ya mifuko hiyo isiyokuwa na ubora kuingizwa nchini kwa kasi kupitia njia za magendo na kuingizwa sokoni bila kulipiwa…
Matumizi simu miezi 6 yazidi Sh trilioni 2.5
Matumizi ya simu, hasa za mikononi kwa ajili ya mawasiliano yamezidi kuimarika huku kampuni zinazotoa huduma hiyo nchini zikitengeneza fedha nyingi na kuifanya biashara hiyo kuwa miongoni mwa zile zenye faida kubwa nchini. Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha…
Tanzania kinara wa kupambana na umaskini duniani
Tanzania inaongoza miongoni mwa nchi 15 duniani ambazo zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kupunguza idadi ya watu wanaoishi kwenye umaskini wa kupindukia. Hayo yamebainishwa na Benki ya Dunia ambayo inasema kuwa Tanzania imeibuka kidedea baada ya kuwa na matokeo mazuri kati…
Kitabu cha mzee Mkapa kiwe dira kwetu sote
Rais mstaafu Benjamin William Mkapa (81), ameandika kitabu kinachoelezea maisha yake ya utotoni hadi urais. Uzinduzi wa kitabu hicho chenye kurasa zaidi ya 300 umefanywa na Rais John Magufuli na kuhudhuriwa na viongozi, viongozi wastaafu na watu mashuhuri. Kitabu hicho…
KIJANA WA MAARIFA (3)
Maisha hayahitaji watu wepesi wepesi Nimeamka asubuhi na mapema huku nikifurahia tukio moja zuri sana, ni pale jua linapoliambia giza, “Inatosha sasa, huu ni wakati wangu wa kutawala.” Napaki mizigo yangu na kutoka nje. Naanza kwenda katika kituo cha magari, ni…




