Latest Posts
‘Woga ndio silaha dhaifu kuliko zote’
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amezungumza jambo la maana sana. Amewataka wananchi wasilalame tu, badala yake wachukue hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki pale unapojitokeza. Amewataka watumie vyombo kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora…
Ndugu Rais wengine tuombe tusije kukumbukwa
Ndugu Rais niliugua sana kifuani mwangu nilipokutafuta nami nisikuone siku ile Watanzania tulipokuwa tunamuaga Sir George Clement Kahama katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uliikosa fursa ya kuzisikia busara na hekima za Rais Mstaafu Ali…
Conte ajawa mchecheto EPL
Ligi Kuu nchini Uingereza imeingia katika hatua ya lala salama huku nafasi ya kutwaa ubingwa ikiwa mikononi mwa vilabu vya Chelsea yenye alama 78 kwa kucheza michezo 33 na Tottenham Hotspur yenye alama 74 ikiwa na michezo 33. Kutokana na…
Siri ya mauaji
M atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa…
Korea Kaskazini yaitisha Marekani
Yafanya maonesho ya makombora hatari Wakorea wasema wako tayari kwa mapigano Pyongyang, Korea Kaskazini Korea Kaskazini imeadhimisha miaka 105 ya kuzaliwa kwa mwasisi wa taifa hilo, Kim II-sung, kwa kufanya maonesho ya silaha za nyuklia. Maonesho hayo…
Barabara yavunja rekodi
Wakati Rais John Magufuli, akijitahidi kubana matumizi, Manispaa ya Morogoro imejenga barabara ya lami yenye urefu wa Kilomita 4, kwa gharama ya Sh bilioni 12. Gharama hiyo imevunja rekodi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami nchini, uchunguzi wa…