JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa…

Rais Shein aihakikishia Malawi ushirikiano

ZANZIBAR Na Mwandishi Maalumu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema uhusiano na ushirikiano kati ya Malawi na Zanzibar una historia ya muda mrefu, hivyo kuna haja ya kuuendeleza na kushirikiana katika sekta…

Madrid, Ufaransa kidedea timu ya FIFA

Mabingwa wa Dunia, timu ya taifa ya Ufaransa, wameongoza kutoa wachezaji wengi katika orodha ya wachezaji bora wa (FIFA) wa kiume, huku katika nyanja ya klabu, mabingwa wa Ulaya (Champions League) Klabu ya Real Madrid wakiongoza kutoa wachezaji wengi. Mafanikio…

Ndugu Rais wananchi wanataka maziwa na asali

Ndugu Rais hii ni sauti ya mtu aliaye jangwani. Wahurumieni masikini na wanyonge wa nchi hii. Wahurumieni watu wa Mungu hawa. Baba, Watanzania wameteseka vya kutosha. Kwanini masikini wateseke katika nchi yao ambayo Mwenyezi Mungu aliipendelea kwa kuikirimu kila aina…

Waitara ameumiza watoto 30,000

Mara mbili, katika matoleo Na. 313 na Na. 331, nimeandika makala yenye maudhui ya aina hii ninayoandika leo. Makala ya kwanza niliandika: “Tusiendekeze usaliti huu”; na kwenye makala ya pili nilihoji: “Nani ana hakika Mtulia atatulia, hatahama tena?” Nikasema yamekuwapo…